Na hawa walioko kwenye game mwaka wa 20 km shabiby kilimanjaro wao wanaletewa nn? Tatzo watu mnajifanya wajuaji na ktk ukoo wenu hakuna hta mwenye biashara ya maandazi mnaropoka tu
Naona akili yako haina akili kuna watu walianza n'a gari moja leo hii wana gari 300 n'a kila baada ya Miez kadhaa anaongeza fleet sasa hiyo hawawez kutoboa unataka atoboe tundu lako?
Kuna mtoto pia alipata kioo kwa manati nikamfukuza a kakimbilia kwa bibi yake bibi akasema huyu mtoto nmeshindwa kwa tabia zake wazaz wake kuja nikawaambia walipe laki moja wakasema hawana hela ya kulipa labda nichukue kuku mmoja na bâti 3 ndvyo walivyo navyo nikaamua kuondoka tu
Maandishi si yanaatungwa n'a mtu kwani si kuna hadith za sungura n'a fisi kua walikua wanaongea ndio km Quran ni uongo mtupu haishushwa ila ilitungwa n'a mtu ili kuwateka wajinga wa kufikiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.