Recent content by benard mgohamwende

  1. B

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    Huo ni uongo mchana kweupe hata aibu huna ya kusema uongo hatudanganyiki imekula kwako na waliokutuma
  2. B

    Mambo yanayotofautisha wanaccm na ukawa

    Nani siyo makapi wote ni makapi kwamtindo huo unao fikiri dk alihamia cdm baada ya kutemwa kura za maoni karatu miaka hiyo acha hizo hakuna mjinga hatudanganyiki
  3. B

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mpaka sasa kuna shule za msingi hazina vyoo vya watoto tena wanakaa chini bila dawati leo mnadanganya watza kwamba mtatoa million hamsini kila kijiji nanyi watza mnashangilia hivi mmlogwa na nani?mamilioni ya mh.jk aliyo ahidi yako wapi na nani alipata jamani acheni ushabiki
  4. B

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kuna watu hawafikiri na kama wanafikiri basi kuna matatizo kwenye vichwa vyao haiwezekani juzi tu wamepitisha kwa nguvu miswada ya sheria ya gesi isiyo na manufaa kwa wananchi leo tunadanga nywa nasi tunakubali jamani kulikoni tunamatope...au ubongo tena bila aibu kisa pesa mnayopewa na t-shirt...
  5. B

    Mh. Magufuli ahutubia mikutano 16 akitokea Ruvuma kuelekea Mtwara

    Hakuna tena watanzania wa hivyo kama wapo ni wachache sana wamebaki kudanganyika Zitto na mawakala wenzio tafuteni kazi nyingine hiyo imeshakuwa dirisha siyo dili tena
  6. B

    Mh. Magufuli ahutubia mikutano 16 akitokea Ruvuma kuelekea Mtwara

    Mmekwisha ninyi na mawakala wenzenu act haiwezi kuwa mbadala wa cdm bali ccm
  7. B

    Lowasa aanza kuwachezea rafu CHADEMA, alazimisha atengewe nafasi 30 za Wabunge

    Watanzania ohooooo wadanganyika miaka 54 ya utawala wa chama kimoja hivi kweli tunae ndelea kujadili habari za ccm iliyo shindwa kweli wajinga ndiyo waliwao ila ni uelewa wa watu tusiseme sana maana hii ni vita baridi kati ya wajinga na wapumbufu ambao hata wakati wa ukoloni walikuwepo...
Back
Top Bottom