Recent content by Ben91

  1. B

    Biashara ya samaki

    Mimi naishi mwanza,nahitaji kufanya biashara na mtu alie tiyari awe wa kike ama kiume,awe nje ya mkoa sio mbaya. Ninacho weza kusema biashara ya samaki na dagaa mwanza ni biashara nzuri ukiwa na watu makini ambao watashirikiana na kufikia mafanikio.changamoto ni mtaji mimi tukielewana ukiwa...
  2. B

    Nafatuta kazi jijini Mwanza

    Mimi ni kijana wa kitanzania naishi mkoa Mwanza,umri wangu ni miaka 26,Elimu yangu ni ya form six,nina ombi kwa mtanzania yeyote mwenye nafasi ya kazi kwenye eneo lake na anahitaji mtendaji (mfanyakazi) mimi nipo hapa najitokeza kwako kuomba hiyo nafasi. Kazi ni yeyote ile kikubwa ni kuwa ni...
Back
Top Bottom