Recent content by Believe Not

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: CCM hesabu zimekataa kusomeka?

    Kwa mtanzania yyte mwenye akili nzuri na mapenzi mema kwa taifa hili na uzao wake hawezi kuxhagua mgombea au chama klicho simamia kwa nguvu zote kuikataa katiba tunayotka wananchi! Hiyo misululu yao wakachimbie mawe huko. Na hizo pombe zao watazinywa sana wakiwa mtaani wakijiliwaza baada...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Hata wangeleta malaika ndani ya CCM agombee urais SIMUCHAGUI!!!!! Lakn pia hataakigombea rusufa UKAWA NAMCHAGUA!!!!! tumechoka na uchuro wenu CCM.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa akili ya Magufuli inafanyaje kazi

    Hakuwahi kufikiria wala hakujipanga kuwa Rais imetokea kwake kuwa mgombea kama zari lamentali wakati wa vita vya mafahali. Ndiyo maana ana kurupuka kama katoka usingizini. Mmsamehe anaeza kuhesabu vifaranga vya samaki tu Urais bado hatoshi!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuwasilisha leo mpango mkakati wa ushindi mbele ya Sekretarieti

    Nyie wote waongo tu,makanjanja watupu! Kwani nani kati yenu nimsemaji na mtoa taarifa za ndani za CHADEMA? acheni uhuni bana! Alafu wewe uliyevimbisha misuli kumtuhumu Yerico kuwa ni mwongo, wewe ni MTZ au mamuluki? maana hata kuandika maneno ya kiswahili hujui, halafu unahasira! "HACHENI"...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    CCM mtaisoma octoba,KUBADILISHIA GIA ANGANI MNAFIKIRI MCHEZO!!subirieni kimbunga cha zoazoa tutakapokuwa tunatua! Hii move mmeitengeneza wenyewe nilazima muicheze kama wahusika wakuu (main character) wa kushindwa.Mlitumia fedha zake kwenda ikulu mwaka 2005/2010 kwa kumwahidi mara baada ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mgombea Urais wa UKAWA, system inaelekea kufanikiwa

    Ndugu yangu umesikika mara kadhaa ukisema mbowe kachukua mpunga! Leta uthibitisho hizi siyo zama za propaganda watu wazushi kama wewe mmekuwakero kwenye mitandao hii ya kijamii. Lakin hata kama amechukua wewe kinakuuma nini sisi hanahabari ya mtu kachukua hela kwa mtu hayo hayatuhusu. tunachojua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo Arusha kikazi

    Mgufuli namkubali ni jembe! Lakini kosa lake ni kuwa CCM chama bovu! Ni viongozi wangapi walioibukia kuwa viongozi(rais) wa nchi hii wakiwa na kila sifa ya kuwa viongozi bora ndani ya CCM lakini waliishia kuvurunda kwa sababu ya mfumo mbovu wa CCM????????!!! Hakuna shida wapenzi wa magufuli...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo Arusha kikazi

    Mgufuli namkubali ni jembe! Lakini kosa lake ni kuwa CCM chama bovu! Ni viongozi wangapi walioibukia kuwa viongozi(rais) wa nchi hii wakiwa na kila sifa ya kuwa viongozi bora ndani ya CCM lakini waliishia kuvurunda kwa sababu ya mfumo mbovu wa CCM????????!!! Hakuna shida wapenzi wa magufuli...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo Arusha kikazi

    Mgufuli namkubali ni jembe! Lakini kosa lake ni kuwa CCM chama bovu! Ni viongozi wangapi walioibukia kuwa viongozi(rais) wa nchi hii wakiwa na kila sifa ya kuwa viongozi bora ndani ya CCM lakini waliishia kuvurunda kwa sababu ya mfumo wa mbovu wa CCM????????!!! Hakuna shida wapenzi wa magufuli...
Back
Top Bottom