Ukubwa: Ekari 30
Miti iliyopo: Mikorosho mikubwa na yenye afya takriban 700 (Iko tayari kuvunwa msimu huu).
Mahali: Kijiji cha Tomoni, Wilaya ya Kibiti (Eneo zuri kwa udongo na hali ya hewa).
Bei: TZS 1,500,000 kwa Ekari moja.
Bei ya Jumla: TZS 45,000,000.
Fursa: Unanunua na kuvuna msimu huu...