Recent content by beka1306

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Marketing ya Course ya Technical Education in Engineering chuo cha Mbeya haina ajira mtaani

    Amecho kiongea n sahih jamaa mm niimesoma technical education ya mechanical engneering kuna shida ya usajil wa wanafunz wanaohtim technical education courses alio soma course hyo anatarajiwa kufanyq kazi mbil as teacher pia kama engneer changamoto iliyopo hawasajiliw kweny bod ya engneer (ERB)...
  2. B

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

    Sio kukaza fuvu ila nmejalibuu kukupa upana wa hiyo course uielewe usiishie kusoma kitabu kwa kuangalia cover tu ndio maan nimeileta hii changamoto tupate ushauli na solution coz each year watu wanamaliz lakin wanakataliwaa kuingia kweny sytem za kazii na ujuzii mtu anao wa engneering
  3. B

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

    Field jumlaa n tano tatu za engneering(industrial practical training IPT) tumefanya sawa na wale wa pure tena sehem moja mfn viwandan, tanesco,tamesa n.k na zingine mbili za za ualim teaching practise (TP) pia kuhus masomo hatusom basics ya engneering tumesoma masomo ya pure engneering mfano kwa...
  4. B

  5. B

    Chuoni tumeuliza japo hatupew majibu ya moja kwa mojaa ni kwa nn? tunapewa majibu ya kutia moyo tuu kwamba tunalishughulikiaa but hadi now hatujapewa mrejesho japo mwanzon walituaminish tutakua as engneer kuhusu ERB wanasema tatizo lipo chuoni sio wao kuna maagizo walipewaa kama chuo kwa hio...
  6. B

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

    kama shida ni masomo ya core subject kwa nn vpnd vyotee vya mechanical engneer tunaingiaa nao wotee kweny masomo yao yotee na core subject zotee tunazisoma ispokua tumewazid ya ualim mfano kama semester inamasomo 10 ya uhandis bas sis tunakua nayo 12 yatakayo ongezeka ni mawil tuu ya ualim au...
  7. B

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

    Kwa upande wa hiyo coaurse masomo yote ya engneering unayasoma sambamba na ya walee wanao soma engneering ya kawaida ispokua utofaut unaongezewa masomo ya education field piaa unafanya tano tatu za engneering sawaa na walee wa kawaida unaeza enda viwandan kweny machine kubwa as engneer na...
Back
Top Bottom