UTATU ‘MTAKATIFU’
The Gangsters
HAROLD Jeff, aliacha ghafla kumsikiliza mtu aliyezungumza naye. Alifanya hivyo baada ya kumwona mwanamume aliyekuwa ametoka kwenye lifti iliyopo ndani ya hoteli aliyokuwamo. Akajiuliza, alishawahi kuonana naye wapi mtu huyo? Wakati akijiuliza, alikuwa amekaa...