Habari za asubuhi.
Instagram account: thechef_kidzone.
Ni restaurant yenye mandhari ya nyumbani na good for family, tunapokea orders za shughuli ndogo ndogo zisizozidi watu 100, kama birthdays, meeting's etc... ni mahali ambapo kuna michezo midogo midogo ya watoto, ya kumpa mtoto happiness...