Recent content by Begumisa Kanyabiango

  1. B

    Nauza kuku wa mayai, Nipo soko la kuku Kisutu

    Kwa mahitaji ya kuku na mayai ya kienyeji naomba tuwasiliane kwa hizi namba 0788597559 Tunapatikana soko la kuku kisutu lakini pia tunakueletea mpaka ulipo bei zetu ni nafuu sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    Plot4Sale Eneo linauzwa Bunju B

    Eneo lenye ukubwa wa 24M kwa 47M linauzwa maeneo ya Bunju B bei ni sh milioni 35 maongezi yapo nicheki kwa hii namba 0788597559 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Benki inaruhusiwa kupeleleza eneo lako la kazi unapoomba mkopo?

    kwakweli hii ni changamoto aseh Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    Benki inaruhusiwa kupeleleza eneo lako la kazi unapoomba mkopo?

    Maana teyali mshahara unapita kwenye Bank yao it means wao watakata huko huko haina haja tena ya kusambaza hizi taarifa za mteja Kuna ofisi nyingine zinatoa mokopo kwa wafanyakazi wake na wanapenda waone wafanyakazi wanachukua mikopo ofisini hapo sas huoni kama kuna kizuizi anaweza akapata huyu...
  5. B

    Benki inaruhusiwa kupeleleza eneo lako la kazi unapoomba mkopo?

    sasa itakuaje kama Boss akikataa kuhusika katika hili Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    Benki inaruhusiwa kupeleleza eneo lako la kazi unapoomba mkopo?

    Habari wanajukwaa samahani naomba mbisaidie kuna ndugu yangu alienda kuomba mkopo Bank akapeleka nyaraka zake za kazini, yaani mkataba wa ajira pamoja na salary slips. Sasa Bank ikaanza kumpeleleza katika eneo la kazi kitendo kilichopelekea kugundulika kwa wafanyakazi wenzake kuwa anataka...
  7. B

    Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

    Ongea kitu ukiwa na uhakika mimi natangaza biashara acha wenye uitaji wachukue viwanja kwa amani usiwe kizuizi katika maendeleo ya wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

    Mtu yoyote anaruhusiwa kukopa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

    Kwa Kigamboni kuna eneo maeneno yafuatayo Mwasonga hii ni karibu na Dar es Salaam zoo,puna hii ni mbele ya kimbiji, kuna kimbiji kwenyewe karibu na bahari,kuna eneo lingine linaitwa mkokozi viwanja vinauzwa kwa mita mraba na bei inatofautiana kulingana na eneo Nipigie au tuma message watsap...
  10. B

    Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

    Kampuni ya MAKAZI SOLUTION inayohusika na upimaji,urasimishaji na upangaji miji inakukakaribisha kukopa kiwanja kilichopimwa kwa kuanzia mwaka mmoja mpaka mitatu. Viwanja vipo maeneo ya Kibaha, Bagamoyo, Kigamboni, Mvuti, Kibwegere, Mbezi ya Kimara na maeneo mengine mengi fika ofisini zetu...
  11. B

    Nahitaji eneo la kujenga sheli

    Habari ndugu zangu Nahitaji eneo la kujenga sheli liwe karibu na bandari ya Dsm yani liwe labda 5-7KM kutoka bandarini na liwe na ukubwa wa eka 5 Namba zangu za simu ni 0658107756 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

    Milioni 3 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

    Viwanja bei zake kwa 1M² zinatofautuana kulingana eneo na eneo ndio maana nimeweka mawasiliano ili kama ukitaka maelezo zaidi utupigie au kutuma message Sema kwa maeneo ya hapa Dsm bei ya chini kwa 1M² ni 7000 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

    Habari Kampuni ya urasimishaji,upimaji pamoja na upangaji wa ardhi iliyosajiliwa chini ya Bodi ya mipango miji Tanzania inawakumbusha kuwa viwanja bado vipo Viwanja vipo maeneo ya Mbezi ya kimara eneo la Kwembe, Mvuti njia panda chanika,Kigamboni,kibaha na maeneo mengine Bei kwa 1M² inaanzia...
  15. B

    Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

    Karibu tukumilikishe ardhi iliyopimwa kwa mkopo wa kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka miaka mitatu Mteja utaruhusiwa kulipa kidogokidogo na pia utaruhusiwa kukitumia hicho kiwanja wakati unaendelea kulipa Viwanja viko maeneo tofautitafauti hapa Dsm na nje ya Dsm Kwa maeneo ya Dsm tupo Mbezi...
Back
Top Bottom