UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI KATIKA MAKAMPUNI YA SIMU – JIPU?
Kwa kitambo sasa kumekuwa na wimbi kubwa la upunguzaji wa wafanyakazi katika makampuni ya simu hapa nchini Tanzania. Wimbi hili limeonekana zaidi katika makampuni makubwa zaidi ya simu ya Vodacom, Tigo na Airtel. Haya ni makampuni makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.