Si hasa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kwenye (Si hasa ) ila Tanzania we really need changes ila aina ya mabadiliko tunayoifanya pia iwe na tija. Nilicho jijengea mm kwenye akili yangu na sihitaji kulazimishwa wala kejeli au matusi ni kwamba HAKUNA MZEE (elders ) within 65 kurudi nyuma...
Acha kutukana watu na dini zao kwa mambo ya kipuuzi ya siasa za kitanzania zisizo za kweli ww laki si pesa aka kanga moko wewe.
Unadhani Tanga watu wote ni wajinga kama wewe. Kama matusi ni mtaji wa kisiasa toeni chama chenu cha wachaga Tanga mkafanye kampeni moshi kusiko na udini. Tukileta...
That really. Mtoa hoja katoa na kuresons majibu yaje kwa hoja sio kejeli na matusi.
Ukiona mtu anatukana na kukejeli kaishiwa tujadili kwa hoja kama great thinkers kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.