Recent content by bebras

  1. B

    Nahitaji msaada wenu Wana JF

    Hapana sijawahi kwani siwajui mkuu,nimehangaika wa hapa bongo na wengine na kutumia madawa ya Kila aina na jini hatoki na hakimbi ananipa kipigo na mateso yote basi ni inbox details zote
  2. B

    Nahitaji msaada wenu Wana JF

    Ndugu dunia Ina mengi kua ujionee
  3. B

    Nahitaji msaada wenu Wana JF

    Sina mtu nae mhadithia ispokuwa nafanya mwenyewe na simshirikishi mtu yoyote ndio maana nikaona Nije humu jamii forum labda Kuna watu watanisaidia waganga hatari na wa kweli
  4. B

    Nahitaji msaada wenu Wana JF

    Hapana sikuwahi fanya kitu chochote ispokuwa ghafla msiba niliupata na nimehangaika sana na mateso hayaelezeki
  5. B

    Nahitaji msaada wenu Wana JF

    Ndugu ukweli unayo sema lakini he nikificha hali inazidi kuwa mbaya ni mengi napitia TU siwezi elezea
  6. B

    Nahitaji msaada wenu Wana JF

    Nimesha hangaika sana huyu haskii cha Ruqya Wala nini asomewe .mie muislamu nimesha hangaika saana na hali inazidi kuwa mbaya
  7. B

    Nahitaji msaada wenu Wana JF

    Niko dar
  8. B

    Nahitaji msaada wenu Wana JF

    Jamani ndugu zangu mie na tatizo kubwa sana na jini nimejaribu Kila sehemu wameshindwa,je sehemu Gani hapa Tanzania Kuna waganga hatari wa kuondoa hili tatizo?iwe waganga wa kuharibu iwe wa kutibu nahitaji msaada wenu Niko katika mateso huu mwaka wa 6 jini hatoki na kafunga Kila kitu na kipigo...
Back
Top Bottom