Recent content by BEBERUU

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Hilo gazeti la mawio ambaro liliandika kashifa hiyo linamilikiwa na kampuni ya free media ambayo mwenye kampuni ni Mke wa mbowe...Sasa unategemea nn kama sio fitina na uzandiki..hapo.Nakuchafua mm nionekane mzurii...Na kwataharifa tu Magufuli unafikiri anafanya kazi kwa maelekezo ya magazeti na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Malecela: Kingunge hana shukrani

    Kweli kabisa ..kasahau na anaongea hivyoo baada ya serikali kuamua kuchukua ushuru..na ndio maana anampigia debe Lowassa kusudi akisha ingia akampachike tena kwenye chimbo la kuchukua ushuru....
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, Masheikh wa Bagamoyo wametumwa na Jakaya kumuomba Lowassa agombee Urais?

    na wanafunzi wanamwita kusudi wapate pesa...coz team yake inajua kumfanyia promooo...ila yangu macho...akipata urais nahama hii nchii....kigupi anapoteza pesa tuuu...nanii amkubalii fisadiii lililokubuuu.....
  4. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Hakuna jipya kwa chadema ....kwisha kaziii....mumejawa na umimii...ukaskazinii...leo zitto kaondoka ..mnapiga kelelee sasa mlitaka afanye nn??asifanye siasa kwanii yeyee mzee kama silaa ...mwambieni mboe na slaa chama kinaanza kupolomoka ...huu mwezi haupitii utasikia mwingine kajiengua nipooo.....
Back
Top Bottom