Sababu jana alisema na yeye ni member wa JF basi ukajua humu atasoma ushundundu wako. Skia mdogo wangu tulipofkia saiz haihitaji nguvu kubwa sana kumjibu HP.
Ww ni nan? Anaetakiwa kujibu hoja za HP kwa sasa HAYUPO. Alijaribu Rostam wiki 3 zilizopita na vip alijibuje? Ndo kwanza kaenda...
😁😁 Nawaza tu kungekua na tuzo za Kill bado cjui nan wangempa tuzo Mana cku iz wasanii ni wengi na wanafanya vizuri..iyo ya marioo mwacheni. Mwacheni nimesema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.