Recent content by Beautifullgirl

  1. B

    JamiiForums Tanzania kwanini utoe pesa nyingi kwa kununua simu?kidogo gawana na mwenzio

    Hi,nauza simu used na simu hizi hazijachakaa kabisa yani ni kama vile mpya,pia nachukua order ya simu uipendayo then nitakuletea,nazitoa marekan jimbo la san diego calfonia kwa yoyote anayependa simu used ani PM tufanye biashara na bei ni poa kabisaa Mfano iphone 4 nitakuuzia laki 3 tuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania TCU YATOA MAJINA YA FIRST AND SECOND SELECTION 2012/13 click here

    Je tcu watakapotoa hizo selection na nacte ndio watatoa yao au wataweka kwa pamoja
  3. B

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muuzaji wa duka la Dawa- Singida

    nifundisheee ntaelewa cijasomea
  4. B

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya kununua/kutoa pesa

    Uwiii nimegairi bac sitaki tenaa
  5. B

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya kununua/kutoa pesa

    Ok asante ila angalia usije kuniingiza kuzimu maana hyo takukuru kwa heruf kubwa kuna ulakin apo
  6. B

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya kununua/kutoa pesa

    K ,sema sh ww shngap and tunapeana pesa kwa njia gan and nifanye nikuamin and niaminishe napataje hyo kaz kwa asilimia ngap na shahid ye2 nan na ukivunja mashart nikufanyaje
  7. B

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya kununua/kutoa pesa

    Kawaida tu...(Tanx kwa mchangi wko
  8. B

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya kununua/kutoa pesa

    Asante kwa ushauri
  9. B

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya kununua/kutoa pesa

    Hi kwa wote,natafuta kazi ya kununua maana saivi bila kununua hakuna kazi na nikizingatia mwaka mzima natafuta bila kupata.so nipo tayari kutoa pesa ili nipate kazi,kwaanae fahamu watu wa hvo au kama wewe ni muhusika naomba uni PM nitakutafuta,usiseme kwa nini hii pesa siifanyii biashara mpaka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania ninahamu sana lakini ndio hvooooo

    Asante xana allah akuzidishie
  11. B

    JamiiForums Tanzania ninahamu sana lakini ndio hvooooo

    Me nabahati bc account yang bado inasoma
  12. B

    JamiiForums Tanzania ninahamu sana lakini ndio hvooooo

    Haswaaa
  13. B

    JamiiForums Tanzania ninahamu sana lakini ndio hvooooo

    Asant apa bila heading ya kuhamasisha post uako haitasomwa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je,maombi ya vyuo muda umeongezwa? Samahani jamani

    Mbona me diploma bado naendelea kuapply?na haijafungwa hui imekaaje?
Back
Top Bottom