Habari@mshana Jr.
Mm nilikuwa na tatizo la kutoshika ujauzito kwa mda mrefu. Mwaka Jana kwa msaada wa mwana jf mwenzetu aliniunganisha na mtaalam wa mitishamba ili kutatua tatizo langu. Hugo mtaalam alinicharge 400,000 kwaajili ya dawa hizo. Nilimpa laki NNE lkn kutokana na nilivyohangaika bila...
Na hiki unachotaka kufanya ndio kinaitwa democrasia. Yani manbo mnayofundana wanaume unampelekea mkeo!!!! Aisee wewe ndio ungekuwa mume wangu ningekudharau sana
Nauza pump ya maji ambayo nimeitumia mda mfupi.
Sababu za kuuza ni kwamba generator yangu ni ndogo kuweza ku suport 1. 5hp
Nipo chanika dar.
Immersed pump
1. 5HP
Made from Italy.
Bei 280, 000
Tuwasiliane kwa 0715 033055
Only serious buyers.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.