Recent content by beast18

  1. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    sidhan sidhani kama umemuelewa mkuu, kamaanisha price ikiwa inaenda n his favor anamove SL to breakeven, hio ni kawaida kwenye fx especially unapokuwa unaswing, locking profits ni kawaida sana tu kwa proffesionals wengi
  2. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    you have no idea what you're talking about mkuu, and its a shame you insist ,
  3. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    duh mkuu, kuna broker hana order kweli yani unaingia kwenye price moja kwa moja?, unataka kusema buy limit , sell limit , buy stop , sell stop zote hazipo?? yani ni kubuy na kusell tu, are you serious ,mimi nimetumia tickmill zote zipo, halafu kwenye kutafuta broker watu wanajali sana fastest...
  4. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    nashindwa kuelewa kwanini umezungushia trailing stop na one click trading, au huelewi maana zake mkuu, weakness yao pekee hapo kwa nlivyoona ni 24hr support
  5. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu hizo patterns ni part ya naked trading, na sio indicators, indicators ni kama Ma, rsi, bb, na nyinginezo , back to your question: mapros wote nliowaona wanatrade fx wanapiga naked , stock market tu ndo wanatumia indicator ya volume basiii, hivyo kwangu mimi sio lazima
  6. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu una mawazo kama yangu, nataka kumaster cypher, gatley, shark na bat patterns,,, katika pitapita zangu zote instagram kwa wasouth graph zao zote sijaona indicators zaidi ya MA basi, lets learn these patterns and trade naked
  7. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    huwa nafuatilia screenshots za watu mbalimbali wanazotupia humu, ila ya ontario akipost huwa ni something else,ni wengi mnamake profits lakini ukiangalia hakuna uhalisia sababu -- trades nyingi zinazopostiwa humu ni za pip 1 - 5 zinazoambatana na bonge moja la lot, --ukiangalia chief ontario...
  8. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Yeah kuna nyingine alihold, ila eur/jpy ya kwanza kachukua pips 4 tu
  9. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Jamaa anascalp hadi raha, pips 4 tu anaclose position, lot size ya tembo, ,
  10. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Sina haraka mkuu, i only wanted to do some research regarding huyo broker myself,as far as i know mabroker wazuri wanatoza some fees, bure ni gharama,, ila i understand why hawezi kumuanika hapa,
  11. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    funguka unahitaji nini maana unalalamika bila sababu , yani ushapewa chakula unataka na kutafuniwa, kwetu sisi wengine hii post tu ni elimu tosha,
  12. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mkuu usitufanyie hivo, tutajie jina la broker wako tafadhali , hapo umesema mambo ya germany stock index, ukitutajia na broker mwenye full vitu kama hivo itakuwa vizuri zaidi
  13. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mpaka sasa hivi wewe umefikia wapi,,?? au unataka kujifunzia hela za watu
  14. beast18

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nipo kwenye group telegram kuna wadau wanachora hadi ma butterfly huko, hatari asee vijana mmeamka
Back
Top Bottom