Peace kwa vinega kwa kila movement mnayofanya.Mzuka sana kwa Umbwa Lotuno kwa kujiunga vinega. Itakuwa fresh kama utamfundisha Pina hip hop, nakumbuka track yako ya si lazima uliposema, "Hip hop ni Mwanza na Arusha,dar mnatuyeyusha, mara maemsii mashoga, maemsii waoga, battle kwa sana mpaka Hip...