Hayo uliyoandika ndio mkataba wao na serikali ulivyokuwa? Mkataba wa hao wazee na serikali ni kwamba wewe serikali changia 15% na Mimi mfanyakazi nachangia 5% na hizo Hela ni mali ya mfanyakazi.
Nimemshangaa Kuna Uzi kuandika humu kuwa Hela Yao karibu itufikie I mean Kwa exchange rate sasa hapa Tena analeta Uzi wa laki Tano yetu Kwa millioni ya Uganda......huyu mleta mada nilikuwa nishaanza kumuamini lakini inaonekana ni wale wale watanzania wa kupewa vitenge na ubwabwa kipindi Cha uchaguzi
Mita mia Tano kutoka comfort mbona unapata eneo zuri tuu...hope kile kitongoji chote kina maeneo na bei siyo kubwa....nunua eneo laki maana Wa-TZ wenye maeneo ni vigeugeu sana.....utashangaa unaletewa fitna
Huyo mtalii nachojua amelipia kibali na yeye amefurahi kutimiza ndoto yake ya kuua mamba mkubwa na mkongwe Kwa kiasi hicho......kosa la TAWA ni kuruhusu amuue huyo mamba ambaye wangeweza kumpromote watalii wakaja wengi kumuona
Hiyo Hela ukiwa serious yaani kupata millioni 500 ni ndani ya miaka mitano tuu....lakini kianzio kiwe siyo chini ya million 20.......nenda songea au songwe au rukwa kalime mahindi na uwe serious na kazi
Inauma sana.....lakini Kwa kufikiria kwangu huyo dada asingetakiwa kuwa dereva yeye....angemtafuta dereva mzoefu aweze kumfikisha na pia bibi harusi wa siku hizi sijui wakoje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.