Recent content by beachboy

  1. B

    UVCCM watoa tamko, Wazungumzia Kampeni zinazoendelea na tafiti zilizotoka

    Kapige push up upunguze gasi tumboni.
  2. B

    Nina wasiwasi hela chafu imepenyeza UKAWA

    Ndg zangu Mimi kama mdau mkubwa wa Mageuzi hapa nchini napata Mashaka makubwa na muungano wetu.Ukawa ilipoanza vyama vote vilipata baraka za vikao halali vya vyama husika lakini nimepigwa na butwaa kusikia hapa tulipofikia kumpata mgombea Urais baadhi ya vyama vimeanza kurudi nyuma on pretending...
  3. B

    CHADEMA mmeingia choo cha kike

    Naomba mnisaidie jambo moja Official campaign zinatakiwa zianze lini.Ili kujiridhisha kama muda unatosha kuwabembeleza CUF.Ama tulazimishe viongozi wetu wajitoe rasmi Ukawa.Nina wasiwasi tusije kamatwa off guard na Hawa CUF wanaweza ghafla kutangaza kujitoa.
  4. B

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Kumbuka Luna rais wa CCM pia kuna rais wa Matajiri na rais wa watanzania
  5. B

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda achukua fomu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kaingizwa kama counter attack ya Lowasa maana watakata majina ya mawaziri wakuu wote including the incumbent. So Lowassa hataweza kucomplain much maana ataambiwa look we have slash even the incumbent MP.
  6. B

    Tujuzane maeneo ambayo UKAWA wana nafasi kubwa kutwaaa ushindi Oktoba

    Kawe 75% Mabwepanda 80% Ubungo 75% Kibamba80% Mikumi 75% Buchosa75% Kyela 80% Sengerema 65% Karagwe 78% Muleba 90% Njombe kwa Makinda 78% Kigamboni 80% Bariadi zote 80% Maswa zote 80% Kilombero 79% Igalula 70% Urambo zote 60%
  7. B

    GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    Its time for northern to provide a CEO for the highest office in the Land.
  8. B

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    Sikiliza dogo hicho mnachokiita NCCR Mageuzi sijawai kuwaona mnafanya serious operation za chama.Zaidi ni Matamko ya magazetini. Hata bosi we nu Hon.Mbatia anajua hamjafanyia kazi chama.Zaidi ya kupiga kelele za magazetini na kutumika na Maadui zetu.Hivi unataka jimbo la Tarime kwa kigezo...
  9. B

    GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Mwigulu your speech is full of pretentious hit at a dark deed,you are too generalities but only short of substance.
  10. B

    Taarifa ya ITV kuhusu Bunge ina walakini; imeegemea upande mmoja

    Wenye wivu wajinyonge.Sisi tunajua ITV ndo television ya taiga.TBC television ya Chama cha Mapinduzi. Ingawaje Leo wamemtosa kada Wao Lowassa.
  11. B

    CHADEMA, sambazeni bendera kwa kila kanda ili kuimalisha chama

    Watu wasibeze hiyo hoja ya benders.Ni kweli campaign materials zinaitajika in bulk na especially bendera na T.shirts.Chama kitoe ruhusa MTU yeyote aingize na kuuza kwa being rafiki.Mimi binafsi wakuniruhusu nitaingiza contana tano za bend era.T.shirts name Madera Yale ya Bawacha...
  12. B

    GE2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

    Hata Lowassa anajua fika kwamba hata yeye mwenyewe akigombea ubunge Arusha mjini atasombwa na mafuriko ya ChadeKawa
  13. B

    Oparesheni shahada mkononi

    Its true kanda ya ziwa is a votes rich zone.Pia nyanda za juu ambako vuguvugu la mageuzi limekolea.Kaskazini potential area sababu 60% will support revolution. Iringa more effort is needed equally with Morogoro. Dodoma don't waste time the same to Tanga.Tabora there is hope.
  14. B

    Updates: Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA, Tanganyika packers Kawe jijini Dar

    Mziki mnene hakika hakuna jiwe litasalia.Pamoja makamanda.
Back
Top Bottom