Recent content by bdo

 1. B

  Wanaohitaji kuchimbiwa visima vya maji tuonane hapa

  1. Gharama za scana ni za Nani? 2. Je scana inatambua umbali wa water table? 3. je Kuna discount? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. B

  Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

  unajuaje if huko waliko wapo kimkakati, na wapo huko kwa maalum kuliko hata hizo walizokuwa wanafanya hapa nyumbani? Kilatha, Sent using Jamii Forums mobile app
 3. B

  Unakumbuka vioja vipi siku unatahiriwa?

  kweli kabisa wakati umebadirika, ndio maana wanaume wanaolewa siku hizi Kwa kisingizio cha usasa.
 4. B

  Unakumbuka vioja vipi siku unatahiriwa?

  kupigwa ganzi ni umama, mtu aliyepigwa ganzi status yake ni sawa na binti aliyevunja ungo, binti akivunja ungo anajikuta tu damu inatoka bila maumivu yoyote.
 5. B

  Unakumbuka vioja vipi siku unatahiriwa?

  ni kujidharirisha Sana, mtu uliyesimama tuli huku ngariba akifanya yake kuchangamana na watu waliochomwa ngazi halafu anajisifia kuwa kaenda jando.
 6. B

  Unakumbuka vioja vipi siku unatahiriwa?

  Mwanaume anatakiwa atahiriwe kwa kisu, hadharani, umetulia bila kutikisika wala Kutoa chozi hata kidogo. Sio hizi hadithi za ngazi na sijui madakitari. Mwanaume usipotahiriwa hivi, unakuwa umezidiwa na binti aliyekeketwa. Inaonyesha kusingekuwa na hospital wengi wenu mngekuwa na mkono wa sweta.
 7. B

  Unakumbuka vioja vipi siku unatahiriwa?

  utajidharirisha bure
 8. B

  SADC imefichua uongo kuwa sera ya viwanda siyo ya Serikali awamu ya tano

  assume kwamba ni kweli hio ni sera ya SADC: 1. Sasa unataka kusema Tanzania imekosea kuadopt hio sera? 2. Je hivyo viwanda vitakiwa kujengwa wapi - nje ya SADC?
 9. B

  Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

  Vuta subira utapata jibu, jambo linaweza kuchelewa Kama una haraka
 10. B

  Kiongozi Mwenge wa Uhuru agoma kuzindua miradi ya maji, barabara

  kajifunze uelewe jinsi uendeshaji Halmashauri ulivyo. Ila honest ni kweli Mbunge wa Tarime ni mpiga Kelele kama ulivyosema.
 11. B

  Kiongozi Mwenge wa Uhuru agoma kuzindua miradi ya maji, barabara

  hio procurement inafanyika nje ya mpango kazi / budget ya Halmashauri, iliyopitishwa na madiwani?
 12. B

  Kiongozi Mwenge wa Uhuru agoma kuzindua miradi ya maji, barabara

  client ni Halmashauri, ukitaka kufahamu iwapo mtu wako alishirikiswa - kajifunze Halmashauri zinaendeshwaje. wakati wa uchaguzi wa mameya wa Halmashauri Huwa mnatamani kujitundika ili mshinde ila ikionekana miradi ina kasoro mnakuwa nyumbu.
 13. B

  Kiongozi Mwenge wa Uhuru agoma kuzindua miradi ya maji, barabara

  Nyie wadeki barabara mnayumba sana, mnakimbia kimbia hovyo Kama nyumbu. hivi mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime ni wa chama gani? Hufahamu Kama mbunge ni diwani wa Halmashauri?
 14. B

  Kiongozi Mwenge wa Uhuru agoma kuzindua miradi ya maji, barabara

  imekabidhiwa halmashauri, na mbunge ni Mjumbe wa baraza la madiwani wa Halmashauri.
Top