Recent content by BCT MEDIA

  1. BCT MEDIA

    Tamko la Umoja wa Vijana kuhusu Chuo Kikuu cha Mount Meru

    Tamko la Umoja wa Vijana wa Baptist Tanzania kuhusu Chuo Kikuu cha Mount Meru. Umoja wa Vijana wa Baptist Tanzania ungependa kutolea ufafanuzi kwa Wabaptist na Watanzania wote kwa ujumla kuhusu tamko lililotolewa tarehe 13/11/2018. Na kikundi cha wanaojiita wachungaji wa makanisa wanachama wa...
  2. BCT MEDIA

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Rashid Chilumba Umeandika ukweli Mtupu..sijasikia kama wametangaza wanasitisha uokoaji sababu ya Giza. Kama kuna kiongozi wa serikali ametangaza hivyo. Kesho hafai kuendelea kuwa serikalini. Ametutia aibu
  3. BCT MEDIA

    Askofu wa Kanisa la Baptist Tanzania Mch. Arnold Manase amekutana na Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako

    Askofu wa Kanisa la Baptist Tanzania Mch Arnold Manase pamoja na ujumbe wake, leo tarehe 12 Sept 2018 wamekutana na kufanya mazungunzo na Waziri wa Elimu Sayansi na Tecknolojia Prof Joyce Lazaro Ndalichako ofisini kwake jijino Dodoma. Askofu Manase amesema kanisa ni mdau mkubwa wa elimu hapa...
  4. BCT MEDIA

    Huruma za Bwana

    It is of the LORD'S mercies that we are not consumed, because his compassions fail not. They are new every morning; geeat is thy faithfulness. Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni Mpya kila siku asubuhi. Uaminifu wako ni mkuu. Lam 3:23
  5. BCT MEDIA

    Usimdharau mtu

    Wembe huwa na makali haswa lakini hauwezi kukata mti. Shoka lina nguvu sana lakini ni vigumu kwake kukata hata nywele tu za kichwa cha mwanadamu. Kila mtu ana umuhimu wake kwa namna yake, hivyo huna sababu ya kumdharau mtu, kwa hali yake ana uwezo wa kufanya lile usiloliweza. Tushirikiane...
  6. BCT MEDIA

    Naunga mkono hoja ya kupeleka watumishi wa kanisa kusoma kwanza kabla hawajaongoza Makanisa

    Michael Nhonya (mnhonya) Tweeted: Naunga mkono hoja ya kupeleka watumishi wa kanisa kusoma kwanza kabla hawajaongoza Makanisa. Tunataka kuepukana na imani potofu. Ambazo nyingi husababishwa na muovu kuwapotosha watumishi, lakini zaidi kutokuandaliwa ama kusoma. Michael Nhonya on Twitter ()...
  7. BCT MEDIA

    Mkutano mkuu wa 42 wa Kanisa la Baptist Tanzania Baptist Convention of Tanzania umemalizika

    Mkutano mkuu wa 42 wa Kanisa la Baptist Tanzania Baptist Convention of Tanzania umemalizika salama jijini Dodoma. Mch Arnold Manase - Amechaguliwa kuliongoza kanisa hilo kwa muhula mwingine. Huku Mch Michael Nhonya akichaguliwa kuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Dhehebu. Tuendelee kuwaombea ili...
Back
Top Bottom