Recent content by bayumiJR

  1. B

    Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

    Ni wachache wenye macho ambayo wanayatumia kuangalia kwayo..,wengi wanamacho lakini hawaoni..!!
  2. B

    Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

    Ndio, MIMI ni msomi ninayetimiza wajibu wangu wa kukusaidia kufikiri.
  3. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    "Ni bora Simba wakali mia moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani " Godbless Jonathan Lema
  4. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    ID ya tarehe 08 August 2015...the same man in different ID.
  5. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Namna ya uwasilishaji wa hoja zako (ukiachilia mbali spelling mistakes na mengineyo) inaonyesha kwa kiasi gani bado elimu zetu hazijawa msaada katika maisha yetu.. Watu mnafikiri kwa dharura sana.,yaani mnawaza kuiondoa CCM, kisha mkadhani kuwa mambo mengine yataji-set yenyewe..Noooo NEVER...
  6. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Umesema sahihi, sehemu kubwa ya wasomi wetu wamemezwa na ushabiki usio na msingi na ambao hauleti tija kwa Taifa. katika kipindi kama hiki ambacho taifa linawahitaji kupindukia, wasomi wetu wako kimya kabisa nao wakiwa wanashabikia (tena bila uchambuzi0 yale ambayo yanaendelea. Ni fedhea kwao...
  7. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Hapo kwenye RED ndipo ulipo-blow your cover..,Geology ni somo, mtu aliyesomea geology anaitwa Geologist..Mzee hata taaluma yako hauijui...??? Washa bodaboda yako kabebe vichwa, usiabishe taaluma za watu hapa.
  8. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    ID tatu zimefunguliwa ndani ya wiki moja na zinaendeshwa na mtu mmoja special kwa ajili ya kampeni..acheni UJUHA wa namna hii..tumia ID yako moja itakutosha sio unabadili ID na kuja kutema mfululizo wa pumba hapa.,kama hauna hoja, ni vyema ukabaki kimya.
  9. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Swali zuri na naomba kulijibu kama ifuatavyo. Kwanza msomi ninayemzungumzia ni mtu mwenye elimu, maarifa ama taaluma juu ya jambo fulani. Msomi ana faida kubwa na nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko chanya ndani ya jamii. Umuhimu wa msomi ndani ya jamii ni pamoja na kufanya kazi mbalimbali za...
  10. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Wewe naweza nisikushangae kama ambavyo siwashangai waendesha bodaboda..unaweza kuendelea kuwaza unavyowaza na hakika naheshimu mawazo yako.
  11. B

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Dereva boda boda anaponiambia namuunga mkono LOWASSA 100% nayaheshimu mawazo yake na namuelewa lakini hata na wewe msomi..? "Awe mwizi awe fisadi ntampigia kura tu " ''Ikiwa CCM itamsimamisha Malaika na UKAWA wakaweka JIWE nitachagua jiwe, tumechoka tunataka mabadiliko.." Ndivyo wanavyosema...
  12. B

  13. B

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Dereva boda boda anaponiambia, namuunga mkono LOWASSA kwa 100% na nayaheshimu mawazo yake na namuelewa lakini na kwa msomi pia..? "Awe mwizi awe fisadi ntampigia kura tu " ndivyo wanavyosema waendesha bodaboda, Hata wabeba magunia wa pale Kkoo, walisema "kama UKAWA wataweka jiwe na CCM...
  14. B

    Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

    Dereva boda boda anapo niambia hivi namuunga mkono 100% na nayaheshimu mawazo lakini na msomi? "Awe mwizi awe fisadi ntampigia kura tu " Lakini msomi kabisa uchukue nchi yako umpe MTU ambaye unamuita mwizi na fisadi na hapo hapo utegemee mabadiliko? Mimi nadhani msomi huyo kwanza atakuwa hajui...
Back
Top Bottom