Kumeanza kuchangamka.
Mwanaume tuna mambo mengi sana katika maisha ya leo tofauti na zamani
Asilimia kubwa katika mapenzi iitokea hiyo sikumwanamke akasema anataka kushenyetwa basi atakojoa mpka wewe utashangaa ila mtake wewe sasa ndo utajua hujui...
hivi aliyegundua kushenyetana alianza anzaje
Kiukweli kwa muda niliokaa na app ya nmb mobile nikawa nafuatilia kilamiamala kwenye akaunt yangu.
Nilichogundua ni heri utunze pesa kwenye line za simu kuliko benki yaan wana vimiamala vya ajabuajabu tena wanakukata bila kukuliza
Mfano niliangalia salio nikawa na sh 80,000 siku kadhaa mbele...
Nilidownload app ya nmb nikawa natuma pesa kwenda mitandao ya simu nikawa naona ni rahisi sana kuliko kwenda bank
Siku nikaona nifuatilie makato yakoje aseeeeeh sikuamini nilichokiona
Toka wakat huo nilijiapia sitofanya huo muamala tena nitakuwa naenda bank natoa kupitia ATM kisha naweka kwenye...
Sina ujasiri huo
Pesa aliyonipatia nilimwezesha yeye mwenyewe,
Hakuna mwanaume asiyetekeleza majukumu yake bila sababu, na sababu kubwa huwa ni mwanamke mwenyewe
Mimi wife niliisikia hii kauli mwezi tu nimemuoa
(Nilisikia anaongea na dada yake kuwa ile mali XY ya familia ikiuzwa pesa yake atunziwe huko ili aone biashara ya kufanya ili siku tukiachana zimsaidie) baada ya kusikia hivyo.
Nikamwambia uzuri bado mapema na hatujawa na watoto unaonaje ukirudi...
Halafu hii kasumba ya mwanamke kujitafuta ili akiachana na mwanaume aweze jitegemea hivi wanajuaga tutaachana? Yan wamekaa kuvitavita na usishangae siku amezipata anaanza mizengwe
Sasa mwanamke hana matumizi kwanini ashindwe kutunza pesa
ANajishughulisha anapata pesa na hana matumizi kama ni home mwanaume anasupply kila kitu.
Ukimkuta mwanamke anaishi peke yake, analipa kodi anasomesha mtoto/watoto yaan kila kitu yeye halafu ukute ana pesa ndefu hivyo huyo mheshimu
Siku zinakwenda sana
Hongera sana wahenga wenzangu nimefurahi kuupata huu uzi nilikuwa mdau wa RFA na Kiss fm enzi hizo redio zilibamba sana
Kuna muda usiku nilikuwa nakesha hasa siku za wikend kusikiliza miziki RFA hakika yakale ni dhahabu na huwezi rudi ndio ishapita
Nitaweka nyimbo za kutosha humu soon ngoja niziandae....
Mwanzoni nilikuwa nikizisikiliza wife anakaa pembeni coz nyingi hazielewi ila kwa sasa naye ni mdau mpka anaomba bàadhi nizirudie
MImi ni wa 90s wife ni wa 2000
Wabongo tupige kazi
soma hiii huko mwanza
https://www.jamiiforums.com/threads/ujenzi-wa-daraja-la-mkuyuni-na-mabatini-mwanza-wananchi-wamkataa-mzawa-wataka-apewe-mchina-somo-tujifunze-uchapa-kazi-tusibebabe-kwa-uzawa.2328844/unread
Niliwahi kutaka kuuziwa eapods sh 70,000 tena na rafiki yangu kabisa kilichoniokoa ni kuzitest
Yan ziko full chargd 100% unaplay mzik mmoja wa dak 3 au 4 mziki unaisha na chaji muda huo huo inaisha inabidi uzirudishe earpods kwenye case yake ya kuchaji nilikimbia sikuangalia nyuma
Kiukweli...
Jambo jingine watanzania sijui ni uoga au mentality zetu haziko sawa
Leo unaona mwenzako anateseka ww unafurahia kwasababu mateso hayo hayako kwako siku yamekufika ndo unaanza lalamika,
Unawapiga pesa ndefu watanzania wenzako unaona maisha umeyapatia leo unapigwa wewe unalalamika
Ukienda kwa wageni ni wakweli, mfano bidhaa ile ile na inafafanana kwa kila kitu atakuambia bidhaa hii ni original inauzwa sh 200,000 na hii ni fekiinauzwa 80,000 ili wewe uchague..
Nenda kwa mbongo sasa bidhaa zote anakuambia bei sawa tena wakati mwingine atakuchoreshea ile feki so sad
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.