Recent content by Batushabile

  1. B

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba - Katiba ni mkataba kati ya mtawaliwa na mtawala. Kama mtawala wa sasa haipendi hiyo rasimu ya Warioba basi wawaachie wengine watawale kwa huo mkataba waliopendekeza wananchi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchanga wa Kujengea - Tangi Bovu

    Lori la double diff la tani 10 au zaidi ni shilingi ngapi? Hii ni pamoja na usafiri?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchanga wa Kujengea - Tangi Bovu

    Tatafuta mchanga wa kujengea nyumba ulio mzuri na bei nzuri. Site ipo Mbezi Beach, Tangi Bovu.
Back
Top Bottom