Recent content by Bata Dume

  1. B

    Swali hili lijibiwe. Nani anaharibu Amani ya Tanzania. CHADEMA au CCM? CHADEMA wanataka mfumo ambao utatupatia viongozi kwa haki

    Mpendwa haki iko mbinguni. Maslahi pamoja na mamlaka ndo kila kitu. Mtihani uko kwenye mizania ya maslahi kati ya wanasiasa. Kutafuta balance angalau kila mtu apate.
  2. B

    PreGE2025 Askofu Mameo: Taifa lirudi katika misingi ya Haki, agusia Tume Huru, na 'No Reforms' asema Ikulu imegeuka kuwa sehemu ya lawama

    Hakika , maslahii yatatuangamiza kama taifa. Kama viongozi wa dini has mapadri na wachungaji kama wana nia nzuri na taifa letu Wasichague upande waponye taifa . Uchadema na uccm kishindania Dora ni juu ya maslahi fulani na si mambo ya haki wala mabadiliko wala usawa . Napata picha maslahi ya...
Back
Top Bottom