Recent content by BASTER

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nauli holela za daladala

    Habari, kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa abiria tunaoshuka njini kwa kupanda daladala za kutoka bohongwa kwenda usagara tunalazimiashwa kulipa nauli nauli kamili bila kujali tunashukia njini tena nusu ya safari, tunaomba mamlaka ziangalie jambo hili kwani zinaumiza kwa wanaoishia njiani.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aitaka Mahakama ya Kisutu kumfutia Ponda Mashitaka ya Uchochezi

    Kwa sababu ya imani yake! Vipi? Yule padri alie asi haendi tena kanisani?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aitaka Mahakama ya Kisutu kumfutia Ponda Mashitaka ya Uchochezi

    :A S-fire1::A S-fire1:KWANI KAFANYA KOSA KULIZUNGUMZIA HILO,KWELI MLETA MAADA NI KILAZA.NA UKITAKA KUJUA USOMI WAKE ULIZA CHINA,AMERICA NDO WANAMFAHAMU ZAIDI KULIKO WW MVIVU WA KUFIKIRI.:A S-fire1::A S-fire1:
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu Zanzibar: Kutokuwepo serikali ya Tanganyika ndio kero kuu ya Muungano!

    :A S-fire1:HATUTAKI MUUNGANO,TUNATAKA TANGANYIKA YETUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Kongwa wanachi hawajui CHADEMA ni kitu gani

    Ha ha ha nimeipenda.
Back
Top Bottom