Habarini za Weekend wana-jumuiya.
Wanaume tunapitia mengi sana.
Mwaka 2017 nilipatwa na tukio ambalo sitokuja kulisahau ingawa nilishasamehe na maisha yakaendelea. Nakumbuka juzi nilileta uzi wa kisa cha yule dada mwenye HIV+.
Issue ilikuwa hivi baada ya kuanzisha mahusiano yetu kwa kweli...
Kaka ili tukio limenitokea mwaka juzi 2021 mwezi wa nne. Nilibaini kadi za mahudhurio ya kufuata dawa kwenye vituo. Kimsingi nilishtuka kuona ile kadi maana akili yangu ilikuwa inatafsir kuwa ile ni kadi ya clinik ya mtoto. Lakin nilivyosoma vizur na kufanya tafit kwa wadau wakaniambia ni kadi...
Tulishaachana mkuu shida amekuwa mtu wa kunitishia sana maisha yangu tena anatumia watu wangu wa karibu kuwaambia kuwa sitakuwa na amani maisha yangu yote
Kaka mimi ilikuwa siishi nae ndani ni wapenzi wenye malengo na tulikuwa kwenye serious relationship. Mechi zilikuwa zinapigwa mimba mbili alitoa za kwangu kwa kigezo hataki kuzaa nje ya ndoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.