Recent content by Basaja balaba

  1. Basaja balaba

    Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo

    Name of the subject prefer
  2. Basaja balaba

    Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo

    Name of the subject preferred
  3. Basaja balaba

    Kama kijana mdogo angekuja kuniuliza kuwa ni mhusika gani kwenye Biblia awe role model wake, mimi ningemchagulia mhusika huyu

    Role model ni wengi na wote ni history ndo imebaki. LEGACY ✨ sasa mimi namuona Jonathan mtoto wa Mfalme sauli alikuwa sio snitch kabsa ilifikia hadi kukasilishwa na mambo ya baba yake juu ya Daudi
  4. Basaja balaba

    Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

    Big man tumekuwa tuki halifiwa kuwa hapo kitambo let's say kama miaka 50 nyuma sijataka kwenda mbali sana. Kwamba mababu zetu mtu alipo Kuwa ni Mgonjwa alikuwa na Uwezo wa kwenda Hospital ambayo ipo umbali wa kilometers 30 na zaidi kwa miguu Kufata matibabu . Je kwa sasa si ukiskia utasema ni fix
  5. Basaja balaba

    Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

    Kiukweli naona hali harisi ni Kwamba ili upate kukijuwa kitu lazma usi struggle sana yani in short REASONING na ndo maana wana sayansi wengi ukiachana na theory Dhamira yao Kubwa ni kwenye vitendo yaani practice uvumbuzi na vitu kama ivo Point yangu ni nin tujitahidi sana kwenye udadisi...
  6. Basaja balaba

    Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

    Katika kusoma kwangu mfalme Suleiman ni tajir wakwanza kuwepo na hakuna atakae kuja kuwepo kama yeye. Maneno ya Biblia kitabu kitakatifu. Kwanin nasema ivo ukizungumzia utajir kwanza katika akili yako unaelewa nin? Huyu mwamba alikuwa tajir in full kuanzia kuumbwa, hadi kila kitu Kuna kile kisa...
  7. Basaja balaba

    Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

    Unaambiwa kwenye swala la mawasiliano alikuwa akimtuma njiwa kuwasilisha ujumbe wake sehemu yoyote husika
Back
Top Bottom