Recent content by barwizy

  1. barwizy

    Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

    Naenda jumapili ya wiki hii
  2. barwizy

    Okwiiiii

    Hahaha.chimba hyo kamla azamu baa
  3. barwizy

    Okwiiiii

    Okwi anakua kama mzee mwenye hadithi nzuri za kusisimua huchoki kukaa nae.
  4. barwizy

    Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

    Gharama ya vyumba ipoje huko mkuu
  5. barwizy

    Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

    Poa poa.nitafanya hvo mzee
  6. barwizy

    Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

    Dah asante sana.mpaka nimehisi tayari nshafika mtwara.nitafanyia kazi ushauri wako
  7. barwizy

    Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

    Asante kwa maelezo yko mazuri
  8. barwizy

    Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

    Asante kiongozi nimekusoma..guest n kwaajil ya siku kadhaa huku nikiwa natafta chumba cha kupanga
  9. barwizy

    Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

    Heshima yenu wadau. Natarajia kwenda kuanza maisha Mtwara, naomba kujuzwa gari lenye huduma za kuridhisha na gharama affordable nikiwa natokea Dar. Lodge, gesti ambayo ina mazingira salama na rafiki lakini bei yake isizidi 15,000 kwa gesti na 20000 kwa lodge. Naomba kujuzwa mitaa ambayo ina...
Back
Top Bottom