Recent content by Barurt Jr

  1. B

    JamiiForums Tanzania Maceleb waliotangaza nia ya kugombea ubunge 2015

    prof Jay, Afande Sele, Kala J, Roma, Niki wa pili, Bonta, Niki mbishi, incredible, na wengine wenye uandishi wa dizaini hii wakigombea jimboni kwangu naweza kuwapa kura yangu ila usiniambie sijui shilole diamond wema nk
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hizi nyumba za ibada kwa kweli zimenichanganya sana

    hata hiyo RC ni wakristo pia, hapo hujatoa hoja ya msingi ndugu kafanye uchunguzi wako upya, yani umeshindwa kujiuliza kwanini bar zinarundikana unajiuliza Nyumba za Ibada???? umeshindwa kujiuliza kwanini guest house zinarundikana wakati zinatumiwa na wenyeji unahoji kuhusu Nyumba za ibada??
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Nyerere ni photoshop iliyotukuka!

    umetisha sana jamaa mi nilihis ni FATUMA ALMAS
Back
Top Bottom