Recent content by Baruni

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi msifanye makosa 2020 ya kuchagua wabunge wanaosusa Bungeni

    Tunajua cha kufanya cha kwanza ni kuwapiga chini was idadi kubwa iwezekanavyo wabunge wa CCM ambao ndio tatizo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge: Jamani tu-connect hizi dots ndo utajua huu mchezo, Makonda na Diamond hii ilipangwa

    Ungetegemea nini ikiwa zero anamshirikisha zero wakisaidiwa na Zembululaz lenyewe.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge: Jamani tu-connect hizi dots ndo utajua huu mchezo, Makonda na Diamond hii ilipangwa

    Zero plus zero is equal to ......
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali inahusika katika utekaji nyara na kupotea kwa raia kunakoendelea nchini?

    Ney alikuwa tishio bila shaka
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    Tuwe na subra maana bunge la kumi na moja itakuwa vihoja,vituko na ubazazi.na kama haukuandaliwa utaratibu wa kumjenga awe mjenga hoja makini hakika tutashuhudia mihemko yake makolokocho
  6. B

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea, kutoka mpinga ufisadi na mafisadi hadi mtetea ufisadi na mafisadi

    Kule kwetu Kilalacha jina analositahili mtu mwenye tabia kama Kubenea ni Kishoia.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Gazeti linalomilikiwa na waandishi makanjanja,Habari za gazeti hili ni zaidi uzushi.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Kuna mijitu iko kwenye Payroll ya madalali.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Itawezekana tu ikiwa yeye kama mtumishi ametekeleza vyema masharti na kanuni za kiutumishi,vinginevyo ni porojo.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Mambo mengine yanachukuliwa kama wote tuko vijiweni.ukishakuwa mtumishi wa umma uko utaratibu na hakuna namna ni lazima ufuatwe,je kwa hili ulifuatwa.watumishi wote wanajua hilo.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili kuwa Rais Magufuli ana mapungufu ya uongozi?

    Ukawa wako kwenye harakati kubwa san warudi kwenye chart bahatimbaya kila wanachobuni hakuna anayejishughulisha nao jpm amebamba kila kona.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

    Walimzoe Jk muzee wa swagas za kikwetu.Magufuri ukimsogelea ujiandae afanyagi maigizo,mambo ya mizaha jamaa anaga kabisa.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Peter msigwa mbunge wa Iringa asifu kasi ya Magufuli

    Sijaona wapi Chadema wamekemea ufisadi.nadhani kwa sasa wanajitafakari kilichowatokea
  14. B

    JamiiForums Tanzania Peter msigwa mbunge wa Iringa asifu kasi ya Magufuli

    Sijaona wapi Chadema wamekemea ufisadi.nadhani kwa sasa wanajitafakari kilichowatokea
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii TRA wametuangusha

    Hakika wabunge wanapaswa kusimama kidete na wananchi kutoa ushirikiano wa kutosha kuinusuru nchi.fikiria kifaa kama Tv madukani Kariakoo unaweza kupata punguzo la ununuzi kwa kiwango chakustaajabisha kabisa.yote haya yanafanyika kwa kuwa kuna ukwepaji kodi wa hatari kabisa.
Back
Top Bottom