Recent content by BARU

  1. B

    Naomba msaada kuhusu UTT (UMOJA FUND)

    Habari za jioni ndugu, samahani naomba mnisaide gharama za vipande kwa sasa ni shilingi ngapi kwa kipande kimoja, na pia nipo Arusha je wapi kwa hapa Arusha naweza kwenda kununua hivyo vipande. Asanteni
Back
Top Bottom