Recent content by Bartazar

  1. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Tutaenda kwa VPN. Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono.
  2. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Kitabu ni njia ya kutakatisha fedha chafu

    Upo jingalao? Samaleko!
  3. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

    Alifurahia kutukuzwa kama Mungu. Mungu wa kweli ana wivu, akamchomoa na kwa kufanya hivyo tukapona.
  4. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

    Kama judicial commission haitaundwa kuchunguza enforced didappearances za akina saa 8,, Azory, Kanguye etc., story ya Kabendera itakuwa ya kweli...
  5. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Itabakia ukweli, vinginevyo Ben aletwe akiwa hai .. Ujinga nao ni kipaji.. Unabisha wakati huna uwezo wa kuweka ushahidi against Kabendera..
  6. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Naamini aliekutanguliza naye kaja Ben, alidhani ataishi milele kwa nguvu alizokuwa nazo. Kumbe Mungu ni wetu sote na sisi ni viumbe wake. Sasa atapata hukumu yake kwa haki...
  7. Bartazar

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Asilimia 64 ya Watanzania waridhishwa na matumizi ya tozo

    Wamekanusha
  8. Bartazar

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

    Miaka 13 sasa, endelea kupumzika kwa amani Nasma..
  9. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Halina baraka ya mabeberu wanaotaka kulinda ikolojia ya Selous.
  10. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Umeeleweka kama chawa wengine. Hakuna kazi nyingine ya vichwa vya mataga zaidi ya kufuga nywele...
  11. Bartazar

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yahamishiwa Ubelgiji na Mtandaoni

    Sasa CCM mpewe nini mridhike? Hamna pema kabisa. Mliiona chadema tishio, mkatumia dola kujaribu kuwanyamazisha. Wamekaa pembeni, wakawaacha mfanye mnavyotaka, viongozi wake kede kede mkawatengenezea kesi za uongo, na wengine mkawapa kesi za ugaidi ili wasiwepo uraiani wakiwabughudhi. Bado...
  12. Bartazar

    JamiiForums Tanzania TCRA yasimamisha kipindi cha EFATHA cha Nabii Josephat Elias Mwingira kwa miezi mitatu, Star TV yapewa onyo

    Shetani kashika hatamu, na kaonesha kwa vitendo yale alosema Mwingira.
  13. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Sababu mlipuko wa bei, Covid-19 na kupanda kwa gharama za Mafuta kwenye Soko la Dunia, hizi sababu haziingii kotekote!!

    Hazina mashiko kabisa, Tuanze na mafuta kwanza, tozo za serikali peke yake kwa lita ni TZS 952, karibu nusu ya bei ya lita. Ubunifu umeisha hadi serikali ikitaka hela ni kuongeza tozo tu kwenye mafuta? Naskia Zambia hapo lita ya mafuta ni TZS 1700, na yanapita bandari ya daslam hapa...
  14. Bartazar

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Polepole inamaanisha kifo cha Magufuli kina mchezo mchafu ndani yake?

    Hapo umetaja jambo la imani, kibinadamu imetoka hiyo... Akirudi atakuwa mzimu...
Back
Top Bottom