Recent content by Bariki Mandele

  1. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Askari akikatika mguu anaruhusiwa kuendelea na Jeshi?

    UTAENDELEA KUWA ASKARI NA UTAPEWA STAHIKI ZAKO ZOTE ZA KIJESHI. FULL STOP MPAKA MIAKAAKOA KUSTAFF.
  2. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania KUHUSU NAFASI ZA JWTZ

    We jadiri tu, si umeona mm sharia? Njoo fasta Mle Kari.
  3. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi JWTZ zatangazwa

    Nawasubri huku kwa Hamu, we njoo na afya mgogoro nakirudisha unfit!! Njoo mlipie mnachokitaka.
  4. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Anayejua kuhusu lake/nyati cement mishara yao ipoje?

    Wana jamiiforum wazima? Samahani anaejua kuhusu lake/nyati cement mishara yao ipoje? na kwa wale wa masoko ( marketing) Je, wanatoa accomodation, housing, transportation? treatment and other benefit? tafadhari anajua pls tujuzane
  5. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Administrative officer anahitajika

    degree wanadai mshahara mkubwa
  6. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na JKT kwa kidato cha 6 awamu ya pili (mujibu wa sheria)

    jkt ya mwendo kasi
  7. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na JKT kwa kidato cha 6 awamu ya pili (mujibu wa sheria)

    TAARIFA KWA UMMA 1. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linawatangazia vijana wa Kitanzania wito wa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli awamu ya pili na Vijana wa Kujitolea. 2. Vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo hayo ni kama ifuatavyo: 3. Vijana wa Mujibu wa Sheria...
  8. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na JKT kwa kidato cha 6 awamu ya pili (mujibu wa sheria)

    Limetoka tangazo lingine la jkt pitieni huko website ya jkt
  9. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania HR Vodacom wekeni wazi ajira zenu

    hizo ajira zao uchawi tu, mnajisumbua kuomba kazi siku hizi kama hujuani na watu ndio basi hizo kazi utaishia kuzisikia tu
  10. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Mishahara serikalini

    maoni yangu tu!!!
  11. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Mishahara serikalini

    Dereva anaendesha gari la polisi anaenda kukamata jambazi mwenye bunduki atalipwaje sawa na dereva anaeendesha gari mahakama? hujui mwingine risk ni kubwa kuliko mwenzie?
  12. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna nafasi maalum za jeshi kwa wanajeshi wenye vyeo?

    Napita tu!!!!!
  13. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa Short listed Tanzania Postal Bank

    hawa nao jipu sijawahi hata kuitwa interview hata moja
  14. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?

    wewe soma vizuri utakutwa ajira zinajirudia wilaya moja wezi sana zoomtanzania
  15. Bariki Mandele

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?

    nimeitwa mara moja interview katika zoomtanzania, nimetumiwa sms za kuomba hela zaid ya 10, nimeibiwa mara moja ya election project 51,5000 asante zoom kwa kuniibia hela na jamaa anajiita aloyce shirima namba yake 0764515257 mwenye mawasiliano na TCRA tafadhari huyu tapeli kachukua hela yangu
Back
Top Bottom