Recent content by Bardisbah

  1. Bardisbah

    Msaada jamani katika kufuta TIN number

    Shukran Sana wakuu, appreciates mchango wenu, nimefanikiwa kujitoa kweny TIN nashkuru ingawa changamoto ndogo ndog zilikuwepo ni kawaida, Kilichobakia wamesema watakuj kunitembelea ili wahakikishe, But me sitafunga kazi yangu cause kama unavyoon hapo kweny picha sio fremu ni kihome, nadhani wao...
  2. Bardisbah

    Msaada jamani katika kufuta TIN number

    Habari zenu, wakuu naomba Msaada ulikuwa ni tareh 27 mwezi wa 7 mwaka Huu 2021, nilikwenda Tra kuchukua TIN number nikafanikiwa kupata Biashara yangu ni playstation Nina TV moja chogo na moja flat sina fremu Bali nachezesha kihome nilishauriwa n friends nikachukue TIN ili nisije niksumbuliwa na...
Back
Top Bottom