Recent content by barcelonista

  1. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

    Huyo Wakazi yupo hai lakini ameshakufa kimuziki,Albert amefariki kitambo lkn yupo hai kimuzidi. Kuna mdau kasema Albert alikuwa anaimba ngoma za kusifu pombe,wanawake na Drugs. C'Mon. Hivi ulishawahi kusikikiza hizi. 1.Masikini Wenzangu ft Mirror 2.Sikiliza ft FA,Lady Jaydee 3.A.k.a Mimi...
  2. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Joh Makini ndiyo Msanii/Celebrity Bora wa HipHop na Bongo Flavour kutokea Tanzania

    Unamjua JUMA MCHOPANGA???
  3. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Jay Mo vs Mwana FA: Nani alikuwa hatari zaidi?

    Haha
  4. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Jay Mo vs Mwana FA: Nani alikuwa hatari zaidi?

    Jay Mo, Ulimwengu ndio Mama, Mawazo ya Jay Mo Album. Na hits kibao (single) Featuring za kutosha, Remix za kutosha. Mwana FA, Mwanafalsafa, Unanitega Album. Na hits kibao (single) featuring za kutosha, Remix nyingi pia. Ok, ok at their peaks kati ya JAY MO Na MWANA FA nani alikuwa hatari...
  5. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Huu mstari unapatikana kwenye wimbo gani wa Fid Q?

    Aiseeee mkuu asante saaana
  6. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Huu mstari unapatikana kwenye wimbo gani wa Fid Q?

    Wakuu kwema? Hivi huu mstari hapa chini unapatikana kwenye ngoma gani ya FID Q. Msaada kidogo. "Kipaji kama Ngwea, bahati mapande aliwagea, ilikuwaje waache ulaji wa majani ukamuelemea"
  7. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Ngwea vs Chid Benz: Nani hatari zaidi?

    Cowbama
  8. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Ngwea vs Chid Benz: Nani hatari zaidi?

    😂😂😂😂😂Tunataka Mmoja
  9. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Ngwea vs Chid Benz: Nani hatari zaidi?

    At their peaks Albert Mangwair na Chid Benz nani hatari zaidi? #forgive Me.
  10. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Nasubiri mkuu
  11. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Over 2.5
  12. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ngoja mkeka utiki bro bado mechi 9
  13. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Msaada

    WADAU KWEMA? Poleni na majukumu. Wakuu nimezitafuta hizi ngoma bila mafanikio mwenye nazo kupitia kifaa chochote naomba(simu,P.C au Compyuta n.k) 1.JAY MO FT NGWAIR&BAMBOO__NISAMEHE. 2.NGWAIR FT JAY MO,FEROOZ,SIR NATURE___MIDA MIBOVU. 3.JAY MO__HILI GAME REMIX. 4.JAY MO__MOCUMENTARY...
  14. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Za kitambo

    Wadau kwema? Hivi ni app gani au Website gani naweza nikapata nafasi ya kupakua zile ngoma za kitambo kuanzia miaka ya 2000 huko kwenye game ya Bongo Fleva. Mfano ngoma za kina Jay Mo,Ngwair,Ferooz,Profesa J n.k Nyingi nimekuwa sizipati... Kwa mfano kuna hizi ngoma mbili nimetafuta saaana...
  15. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Michael Jackson

    Stori za vijiwe hizo...
Back
Top Bottom