Recent content by BaraZ

  1. B

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii inayoonesha barabara ya lami yenye mashimo na maji ndani yake kukiwa na mimea iliyoota imetengenezwa kwa Akili Mnemba

    Imetengenezwa Kwa AI ukiangalia magoti ya watembeaji hayana uwiano na mwili
  2. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Wakuu naomba waliona uchambuzi wakina kuhusu kitovu cha mtoto, eti ni kweli kikiangukia sehem za siri wakati kinakatika hatokuja kuzaa?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG; Nini hatma ya hasara zinazosababishwa na Mashirika ya umma?

    Hivi tunapofuatilia Report ya CAG. Pamoja na hasara zinazoletwa na serikali. Mfano tu, kwenye shirika la ndege, hatma ya hasara hizo ni nini Au ni kumkaba mwananchi na je hatma ya hiyo report ni nini maana haturudishiwi mrejesho ikiwa kosa limesahihishwa au Sheria imechukuliwa. Au ni vile...
Back
Top Bottom