Recent content by barakita

  1. B

    JamiiForums Tanzania Is it possible to create extra RAM?

    hapna siyo hivyo ram yangu ni 0.99 gb ila hayo maelezo uliyoyatoa yana sema kuwa siyo recommend kufanya hayo mautundu kama una less than 4gb
  2. B

    JamiiForums Tanzania Is it possible to create extra RAM?

    lakini wanasema hawa recommend kama una less than 4gb of ram....mzizi mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Is it possible to create extra RAM?

    windows xp professional service pack 3 current ram ni 0.99Gb
  4. B

    JamiiForums Tanzania Is it possible to create extra RAM?

    samahanini wakuu..nilikuwa nimebanwa na kazi.. Mi natumia windows xp professional service pack 3
  5. B

    JamiiForums Tanzania Is it possible to create extra RAM?

    guys is it possible to create extra RAM either on a flash disk or a CD. if there is a way to do that plz help me.
  6. B

    JamiiForums Tanzania msaada pll=z. Samsung S5690

    Nina simu ya mchina samsung S5690. simu hii inatatizo kwenye internet. kwamfano nikifungua facebook inafunguka mpaka kwenye ile sehemu ya kulogin ila nikisha login ina load afu inakuja message inayo sema "Internal error" afu browser inafunga. Tatizo lingine nikienda kwenye waptrick ninaweza...
Back
Top Bottom