Recent content by Baraka2030

  1. B

    Naomba ushauri kuhusu Chuo

    Habarini wakuu, Mimi ni mwalimu sekondari ninadiploma G.P.A 3.1, advanced nilipata E flat HGL. Nimeomba ruhusa ya Halmashauri kwenda mason kwa miaka 3 nimepata, Naombeni ushauri wenu wadau nifanyaje? Asanteni
  2. B

    Je NACTE watanichagua tena?

    Naombeni msaada, mimi ni mwalimu diploma holder. Nimeapply NACTE ili nikasome degree lakini 2014 niliapply kusoma Open University nikapata na nikajisajili ila sikufanya mtihani hata mmoja. Je NACTE watanichagua tena?
Back
Top Bottom