Ni ukumbi wa kisasa kwa ajili ya shughuli kama Harusi, Sendoff, kitchenparty, mikutano, mahafali, kipaimara, ubatizo, semina na nk.Una Standby Genereta, Maji yanapatikana masaayote,vyoo vizuri na vyakisasa, upishi mzuri wa vyakula kulingana na menu aliyochagua mteja,tunatoa...