Ukumbi wa kisasa Jullie Paul Social Hall

baraka wanna

Member
Sep 8, 2014
25
1
Ni ukumbi wa kisasa kwa ajili ya shughuli kama Harusi, Sendoff, kitchenparty, mikutano, mahafali, kipaimara, ubatizo, semina na nk.Una Standby Genereta, Maji yanapatikana masaayote,vyoo vizuri na vyakisasa, upishi mzuri wa vyakula kulingana na menu aliyochagua mteja,tunatoa vinywaji,Upambaji,keki. Tuna parking za kutosha na usalama ni wauwakika. Ukumbi upo Vikindu wilaya ya Mkuranga.Kwa mawasiliano 0715377167/0754692414 karibuni.
 
Back
Top Bottom