Recent content by Baraka Rabson

  1. B

    INAUZWA Mashine ya Mazoezi ya Kukimbia inauzwa

    Hii hapa picha nyingine
  2. B

    INAUZWA Mashine ya Mazoezi ya Kukimbia inauzwa

    Nimerudia kupost picha zaidi ya mara tatu..ila bado inaonyesha moja tu.
  3. B

    INAUZWA Mashine ya Mazoezi ya Kukimbia inauzwa

    Maelezo yapo ya Kutosha mkuu..pia na namba ya simu ipo kwa mteja aliyetayari kuja kuikagua.
  4. B

    INAUZWA Mashine ya Mazoezi ya Kukimbia inauzwa

    Mashine ya Mazoezi ya Kukimbia kampuni ni HOMCOM,Inatumia umeme (Imetumika kidogo) Ina uwezo wa kuhimili hadi Kilo mia na kumi - 110KG. Bei ni TSH:1,000,000 Mawasiliano:0768960575 iko Dar es salaam,Mbezi Beach Karibuni.
  5. B

    Toyota Gaia For Sale

    Haifai hata kidogo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    Toyota Gaia For Sale

    Bima,Nenda kwa Usalama vipo. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    Toyota Gaia For Sale

    Jipatie Gari kali kwa ajili ya matumizi binafsi na ya familia pia. Model: Toyota Gaia Mileage: 137k Year:1999 Colour:Silver Engine Capacity: 1830 Super Clean,Full AC,Full vibali. Wahi sasa..piga simu No:0746156938 Bei: 5.5MIL Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    Jipatie t shirts zenye maneno mazuri kwa ajili ya familia,mahusiano,n.k

    Tupo mikocheni B,Dar es Salaam..ila hata mikoani tunatuma.
  9. B

    Jipatie t shirts zenye maneno mazuri kwa ajili ya familia,mahusiano,n.k

    Jipatie t shirts kali,zenye maneno atamu ya mapenzi kwa ajili ya mahusiano yako,kwa bei ya sh 15000 kwa moja. Piga simu namba 0621097301 kuweka order yako sasa.
  10. B

    Je Computer yako ipo slow au Ina tatizo lolote? tutafute upate ufumbuzi.

    Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..
  11. B

    Je Computer yako Ina tatizo lolote? Wasiliana nasi ili lipate kutatuliwa.

    Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi.
Back
Top Bottom