Mimi Mwl. wa Sekondari Manispaa ya Morogoro natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje Morogoro na mimi niende Dar es Salaam wilaya ya Ubungo au Kinondoni kwa mawasiliano 0765101554 na 0717101055
HABARI WALIMU, POLENI SANA KWA MATANGAZO ILA MSIZIMIE MIOYO MAANA ATAFUTAE HUPATA. LEO NIMEKUJA NA OFA NYINGINE KAMA UPO SONGWE, MBEYA, NJOMBE, IRINGA NA MOROGORO WILAYA YOYOTE UNATAKA KUJA MTWARA - TANDAHIMBA (MJINI) NITAFUTE TOFAUTI NA HAPO HAPANA 0717 101055 NA 0765 101554
mimi mwenyewe nipo mtwara tandahimba lakini mimi natafuta watu kutoka moro, ir, njombe, mbeya, songwe na katavi mwenzangu anataka huko mwanza awe jirani na kwao kg
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.