Recent content by Baraka Justice

  1. Baraka Justice

    JamiiForums Harakati za kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia ni jukumu letu sote

    Ndugu wana Jf napenda kuwaasa juu ya swala la kupambana na kutokomeza swala ukatili wa kijinsia ikiwemo ukekektaji na ndoa za utotoni, kuwa ni jukumu la kila Mtanzania. Vitendo hivi hufanywa hasa na jamii za Wamasai, Wakisii na wakurya wa Mkoani mara ambao hufanya swala hili kwa kiasi kikubwa...
Back
Top Bottom