Recent content by baraka haule

  1. B

    JamiiForums Tanzania Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Ndo maana Watanzania hatupendi suala la Kadhi kujadiliwa BUNGENI wala kuzua mjadala wowote kwa WATANZANIA wapenda AMANI,hilo suala lijadiliwe na WAISLAMU wenyewe kwa sababu ni MAHAKAMa zitakazokuwa zinafuata mambo ya IMANI zaidi,kwa hiyo itakuwa ni kuruhusu SERIKALI kuingilia UHURU wa kuabudu wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    nadhani shibuda inabidi apiganie kwa hali na mali suala la mgombea binafsi,maana huko ataweza kuruka sarakasi apendavyo,na hata atakaporuka na kupasuka utosini hakuna mtu atakae muuliza, ila anapotaka kuwa kwenye chama fulani basi ni lazima aende sambamba na misimamo ya chama husika,na asipokasa...
Back
Top Bottom