Recent content by Baraa

  1. B

    Hotuba ya Kambi Rasmi Bungeni, Wizara ya Katiba na Sheria

    Naomba nikupinge kwa hii ya kwanza kuwa aliye mtumbua Kebwe ni Rais mwenyewe kwa hiyo Rais alikuwa na nguvu hiyo. Ila ingekuwa ni kiongozi mwingine akimtumbua na kwakuwa Rais hajakazimisha nguvu au majukumu kwao kisheria basi angepaswa aende mahakamani. Ila pia tumeona hata kwa enzi ya Mrema...
  2. B

    TZS 800m/acre yaweza kuwa sawa Kigamboni. Nitaeleza!!!!!

    Ni kweli baada ya kusoma hoja ya mradi wa Arumeru kuwa ilipaswa kuwa ni shs laki moja hadi milioni kwa heka niliona kuna tatizo. Kwani kwa eneo husika hata kama ni bei ya fidia isingekuwa hiyo. Nimepata picha japo nilikuwa nimeshakuweka ktk kundi la kutetea wahusika lkn sasa nimeelewa.Asante...
  3. B

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    Kwa mujibu wa kanuni au sheria za Bunge TBC ndio wamepewa hatimiliki ya kurusha matangazo peke yao labda ziondokewe iwe kama zamani wakati Star Tv wanarusha live bure bila hata kuweka matangazo ya biashara.Hii iko kichama zaidi kuilinda
  4. B

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    Naomba UKAWA, Upinzani kwa ujumla na wapenda demokrasia wote waanzishe mfuko ili sisi wapendao kuangalia live bunge tuchangie ili kupunguza gharama kwa serikali. Naomba kuwasilisha
  5. B

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    Naomba UKAWA, Upinzani kwa ujumla na wapenda demokrasia wote waanzishe mfuko ili sisi wapendao kuangalia live bunge tuchangie ili kupunguza gharama kwa serikali. Naomba kuwasilisha
  6. B

    SUK (Serikali ya Umoja wa Kitaifa) Zanzibar, itaweza kufa wakati wowote sasa

    Amesema hataki kugombea mbona mnalia lia. Si mfurahi kwani mtashinda bila kupingwa au mnataka mumtumie kama ngazi? Si sasa mnauhakika na ushindi tena wa kishindo hata majimbo ambayo mlikuwa mkishindwa mtashinda? Mbona mnalialia?
  7. B

    Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Limguse na kijana wa kufunga viatu vya mtoto wa msoga kama kweli mwanzo alikuwa na jina lingine lazima hapo kuna jipu
  8. B

    Kama wana Arusha watamchagua Lema kuwa mbunge nitawaradharau

    Anza na mimi Mkuu piga ua lazima nimpigie.
  9. B

    Wapinzani (UKAWA) Waitikia Wito wa Mhe Rais Dkt Magufuli wa Kufanya Usafi!

    Mji wa Moshi ungekuwa mchafu mara baada ya CHADEMA kuuchukua kutoka kwa CCM lakini umeendelea kuwa msafi na wa kuigwa. UKAWA hawataki uchafu na hamna chama kinautaka. Arusha leo kila kona ni safi kwani watu wameitikia wito wakati ni UKAWA kila kona isipokuwa kata moja pale kati ambayo pia leo ni...
  10. B

    Mzee Kingunge Ngombale Mwiru bado anaamini kuwa CCM imeishiwa pumzi?

    Kweli hapa kazi tu. Alipiga kampeni kivyake bila hilo jina sisiem na sasa ni kazi tu bila ya sisiem naomba aendeshe nchi bila ya watu kumshika bega Mkuu hapo acha ni ya mzee wa chama. Sasa wataisoma namba yeye mbele kwa mbele. Kuna watu wanamsifia ili awateue !!! imekula. Kama ameweza kuendesha...
  11. B

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Namwomba Rais Magufuli futilia mbali mwenge wa Uhuru ambazo ni garama zisizo na msingi. Wakuu wa mikoa na mawaziri wafanye kazi ya kufungua miradi ambayo mwenge unafungua kwa garama nafuu.
Back
Top Bottom