Nauza ardhi yenye ukubwa wa hekari 13 tu kwa Tshs 140/= milioni, eneo lipo Lugwadu lipatikanalo barabara ya Kongowe-Kigamboni main road lipo ktk ramani ya mipango miji, ni dakika 30 mpk 45 makadirio ya juu kufika eneo husika, liko tambalale, minazi na miembe pia himo kwa uchache! .
Maulizo...