Mbunge ameitisha mkutano na wanahabari
Kama ni safari ya kwenda mnakokwendaga nyie nendeni tu maana siku hizi si jambo geni tena
Ila kama kuna jambo lingine kwa afya ya wana mchinga nikutakie mkutano mwema
Wabunge wanaounda "Umoja wa Katiba Ya Wananchi", UKAWA wametolewa nje ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Ijumaa, Novemba 20, 2015 baada ya kusisitiza kutokutambua ujio wa Dk Shein bungeni na kuanza kuzomea huku wakisema kwa kurudia, "Maalim Seif. Maalim Seif. ..."...
PROF LIPUMBA AMTAKA MAALIM SEIF KUJIRUDI
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof. Ibrahimu Lipumba amesema chama chicho kipo tayari kushiriki katika uchaguzi mdogo wa uwakilishi katika jimbo la Jang'ombe.
Akizungumza na Wanachama pamoja na viongozi wa CUF wanaomuunga mkono kwa upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.