Humu kuna Mafisadi , wala rushwa, vyeti feki, wafanyakazi Hewa, mikopo hewa, wezi ya mali za umma, wanafunzi hewa, wengine baba zao walitumbuliwa na Mwamba Magufuli. ndio wanamwita muuaji kawaua njaa , na bado mtakufa kweli kurudi tuliko toka watanzania hatuwezi tena Jeshi alitufumbua macho...